"Wanalipwa 700 katika mechi za Harambee Stars...", Nyamweya atoa madai.

Taarifa ni changa mno kuhusu Nyota Wa kati Victor Mugubi Wanyama maarufu Simba Wa muthurwa kustaafu soka LA kimataifa.Ila kwa sasa wengi Wa wakenya wanajiuliza ni kwanini maana nafasi take kwenye kikosi cha taifa ipo wazi kama meno ya ngiri,kwa tajiriba yake akicheza zamani Celtic,Southampton na Tottenham Hotspurs.
victor akiitumikia Spurs ya Uingereza.PICHA HISANI:JPEG.
Kimetifuka baada ya aliyekuwa bosi Wa shirikisho la soka nchini Fkf Sam Nyamweya kusema kuwa,kiini cha wanyama kuacha stars ni Migogoro baina yake na viongozi Wa shirikisho kuhusu marupurupu katika mechi za dimba la Afcon Mwaka 2019,swala ambalo beki Abud Omar aliwahi kuligusia.
Nyamweya akizungumza na waandishi habari Wa mtandao Wa Goal.com amekiri kuwa Wakati wake kila mchezaji wa anayecheza katika timu ya taifa alikuwa anapata 3,000 hadi 5,000 za kuingia kambini kwa siku ila sasa kulingana na wasosi wake Wa taarifa ,wanastars wanapokea 7,00 alizodai ni za watu Wa ujenzi maarufu mjengo. Sam Nyamweya kwenye picha.PICHA HISANI: MichezoAfrika.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.