kwanini Greenwood amekosekana kwenye kikosi cha South gate?
23 waitwa kikosini Uingereza.
Beki kati Wa Acmilan Fikayo Tomori ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa soka Uingereza maarufu Three lions kuziba pengo la Jacob Harry Maquire ambaye ni majeruhi.Mason Greenwood vilevile amekosekana katika kikosi hicho kitakachojiandaa kupagusana na Andorra na Hungary katika mechi za kufuzu dimba la Dunia mwaka 2022,Qatar.
WALIOKOSA.
Alexander-Arnold -
Arnold alicheza mechi ya septemba dhidi ya Andorra na anatarajiwa kukosa mechi ya Liverpool dhidi ya Manchester City Jumapili ya kwanza octoba,pambano la ligi kuu Uingereza,kwa kuwa na jeraha.
Greenwood
Bamdogo mwenye kumiliki miaka 19, amekosa kikosi baada ya mabosi wa united kusema ni kazi nyingi kwa kinda huyu. Hatua kama hiyo,imeafikiwa na mabosi Wa Borrusia Dortmund kuhusu Jude Bellingham.

Maoni
Chapisha Maoni