ALIPATIKANA KITANDANI NA MKEWE

Kiungo kati Wa zamani Real Madrid Fernando Gago ametalikiana na mkewe baada ya kufumaniwa akiwa mtupu kitandani na mpango Wa pembeni.
Kwa mujibu Wa taarifa zilizopeperushwa na Cynthia Fernandez Wa Argentine Tv,Mkewe Gago Gisela Dulko mwenye umri Wa 36 alimpata mumewe akila uroda na mwenye shule ya densi Veronica Lafitte na cha aibu zaidi katika kitanda chake.photo courtesy Ap.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.