Gor Mahia yaanza vizuri msimu mpya

Gor Mahia wameichakaza Kcb magoli mawili kwa moja yote yakitiwa kambani na Benson Omalla.Mmata Erick ameifungia kariobangi sharks goli la pekee dhidi ya posta  rangers.Malimbukeni wameandikisha sare kwa Vihiga Bullets kutoka sare tasa dhidi ya Bidco united na Talanta Fc wakiandika sare dhidi ya Wazito Fc ya kimanzi. Sajili mpya upande wa Bandari Wyhvone isuza amekuwa na siku nzuri akitingisha kamba mara mbili na kuisaidia Bandari kuvuna ushindi wa magoli matatu kwa sifuri iliyomilikiwa na Mathare United.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Unknown and Shocking about Ole Gunnar Solskjaer.

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

MAYAKA alivyotua kikosini Harambee stars.