LIGI KUU NCHINI KENYA YAREJEA.

Fkfpl yarejea bila mdhamini.Ligi hii inaandaliwa wakati huu wadhamini walioekeza kiasi kikubwa cha fedha kama vile kampuni za mchezo wa kamari Betking na odibets wakijiondoa.Wadhamini wengine waliosalia ni pamoja na kituo cha kupeperusha matangazo Milele FM na Televisheni ya Star times.Je, vilabu  vilivyo na ukata Wa fedha zifanyeje? 

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Unknown and Shocking about Ole Gunnar Solskjaer.

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

MAYAKA alivyotua kikosini Harambee stars.