Afungwa wiki 8 kwa kumbagua kirangi mchezaji Wa westbrom .

Simon silwood ambaye ni shabiki kindakindaki Wa timu ya Westbromwhich Albion alifungwa jela wiki 8 tarehe 30 mwezi septemba,kwa kosa la ubaguzi Wa ranging dhidi ya mchezaji Wa westbrom Romaine Sawyer.
Silwood ameshtakiwa kwa kosa la kuchapisha posti katika mtandao Wa Facebook akisema Sawyer anafaa kusbinda tuzo la Baboon D'OR badala ya Balloon d'or. Mawakili Wa Sawyer wamesema chapisho hilo lilivuruga amani na kuchangia ukosefu Wa utulivu kwa mteja wao.Romain kwa sasa anakipiga na stoke city kwa mkopo.picha za Romaine Sawyer. Picha: jpeg 

MARUFUKU KUHUDHURIA MECHI.
Timu ya Westbrom imempiga marufuku kuhudhuria Mechi zao Silwood mwenye umri Wa Miaka 50 Maisha yake. Mawakili wake wamesema alichapisha chapisho hilo katika Mechi ambayo Westbrom walipewa tano mtungi 5-0 na Manchester City katika uwanja Wa The Hawthorns.
Silwood. Picha: jpeg.



Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.