Mpenzi Wa Ronaldo aonyesha umbo lake hadharani.

GEORGINA RODRIGUEZ.
Georgina ni mwanamitindo na fasheni mwenye umri Wa miaka 27 na ndiye Mpenzi Wa nyota Wa ureno na Manchester United, Christiano Ronaldo, mwenye umri Wa miaka 36.

MAISHA.
Kama mwanamitindo wengine tu, Georgina anapenda sherehe na raha. Kuzuru na kuogelea katika bwawa ndogo za maji. Sasa hivi majuzi amelinasa jicho la umma kwa kutokea kwenye picha akiwa amevalia vazi jeupe na mkufu Wa almasi. Picha hizi wanamitandao waliziamkia wengine wakimpongeza kwa umbo lake.Gorgina kwenye picha akionyesha umbo lake. Webp: picha hisani.
RONALDO NA MPENZIWE.
Je, wameoana?
Hapana. Kama wengi walivyoeneza uvumi kwamba wawili hawa wamefunga ndoa,hizo zimesalia kuwa fununu tu.Kwa sasa wamehamia jijini Manchester kutoka Turin baada ya Ronaldo kupata uhamisho Wa United mwaka 2021.
Ronaldo na Georgina wakila bata.
Picha hisani: webp.

Author : mwanamichezoo blog
E-mail: michezoh@gmail.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.