"Nitampiga tena" Mwanadondi Usyk adamka.

Baada ya hivi majuzi mwanabondia maarufu Anthony Joshua AJ kupokonywa mikanda yote WBO,IBF na WBA na Mwenzake Wa Ukraine Oleksandor Usyk pambano lijalo lilikuwa la mkanda Wa WBC ambao una Tyson Furry,ila kwa sasa, baada ya AJ kuitisha pambano la marudiano sasa Usyk amesema yupo tayari.
photo courtesy Ap. Oleksandor usyk
Kikubwa katika pambano hili Usyk aliyeshinda mikanda yote katika uzani mwepesi sasa amedai kuwa atamchakaza tena AJ. Kwa sasa pande zote mbili hazijakubaliana kuhusu sehemu sahihi kwa pambano hili wakraine wakitaka lifanyike kwao na waingereza wakitaka lifanywe London.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Unknown and Shocking about Ole Gunnar Solskjaer.

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

MAYAKA alivyotua kikosini Harambee stars.