Quardiola kuhusu Messi,Neymar na Mbappe.

"Sijui nitawakaba vipi" .Kocha Wa Manchester city pep quardiola amesema hawajui ni namna gani ya kuwakaba mastaa watatu Wa PSG akijiandaa kumenyana nao katika uwanja Wa PARC de princes nchini ufaransa kwenye mechi ya klabu bingwa barani uropa. watatu hawa hawajakuwa wakishiriki mechi nyingi pamoja ila Messi hapo Jana amerejea mazoezini. Kwa kocha pochettino ni kuchangua tu watakaoanza dhidi ya Manchester city.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Unknown and Shocking about Ole Gunnar Solskjaer.

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

MAYAKA alivyotua kikosini Harambee stars.