MOH DEWJI AACHA UONGOZI SIMBA.

Pigo kwa mashabiki Wa Simba sc Tanzania baada ya Mwenyekiti Wa bodi ya wakurugenzi Mohammed Dewji kuacha wadhifa huo.
Kwenye taarifa Moh amesema anasafiri sana kitu kinachomhangaisha sana katika usimamizi Wa klabu katika upeo huo.
Mojawapo ya picha za Mohammed Dewji akiwa uwanjani katika mechi ya Simba.Picha hisani: Presenter page at Facebook.

Moh amemteua naibu wake Salim Abdallah Muhene kuwa mwenyekiti Wa bodies hio.Muhene maarufu kama Try again amekuwa naibu Wa MOH kwa miaka minne.Abdallah Muhene.PICHA hisani: Michezo online Facebook.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.