"Tutakula na tulewe."Asema pep

Kocha Wa Manchester city pep Quardiola, akihojiwa baada ya mechi ya klabu bingwa barani uropa dhidi ya Mabosi Wa kiarabu PSG amesema kinachowasubiri baada ya kupewa kichapo cha mbili kavu uwanjani parc de princes, ni kula kunywa wine na kulala kusubiri mitanange ya wikendi.Magoli ya PSG yalifungwa na Idris Gueye na Mchawi Lionel Messi.
MATOKEO KWENYE MECHI NYINGINE.
Goli la pekee la Donny Malen liliwapa wajerumani Borrusia Dortmund ushindi Wa moja patupu.URENO.
Ureno kulikuwa kubaya mno Liverpool ikiaribu hewa kwa kuichafua na mabomu matano kwa moja dhidi ya Porto.Kwenye matokeo mengine.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.