Chelsea yazikwa,Ronaldo akiifufua United

Nyota Wa Manchester United Christian Ronaldo amefikisha magoli 136 katika michezo 178 ya michuano ya klabu bingwa bara uropa.Kwa sasa ni rekodi ya magoli mengi katika misimu 17 akiwa mchezaji Wa kwanza kufunga katika mechi 11 mfululizo.Ronaldo aliwapa united goli la  ushindi katika mechi dhidi ya villareal mtanange Wa klabu bingwa mwezi septemba tarehe 29 mwaka 2021.

JUVENTUS DHIDI YA CHELSEA.
Wakali Wa Turin Juventus maarufu Bikizee walimkwatua mwanadaraja Chelsea goli moja sifuri likifungwa na Federico Chiesa. Chelsea wameshindwa kufaidisha kutokuwepo kwa Morata Alvaro na Paul dyballa katika kikosi cha Juventus. 

Matokeo katika mechi nyingine.

picha Hisani: Jpeg na Being sports

Author
Paulo Mwanaspoti.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.