Juventus ni majeruhi kuelekea mpambano dhidi ya Chelsea.

Mfuma nyavu wa Uispania Alvaro Morata na Mwenzake Wa Argentina Paulo Dyballa, ni baadhi ya wachezaji muhimu ambao uenda wakakosa mechi dhidi ya Chelsea, usiku huu 29.9.2021 katika mkwaruzano Wa timu bora barani uropa. Kocha Massimiliano Allegro amedokeza kuwa uenda akalazimika kuwatumia Federico Chiesa na Moise Keane endapo atanyumbulisha mfumo Wa 3-5-2 na kuwatumia Leonardo Bonnuci na Dannilo kwenye viungo kati.Mechi ya mwisho Juventus kupatana Chelsea katika michuano hii Chelsea alimcharazwa magoli matatu kwa tairi.3-0.Wikendi iliyopita Juve maarufu bikizee alipata ushindi dhidi ya Malmo.
CHELSEA.
Upande wao wanachelsea naaangazia taarifa ya Tuchel Thomas, ambaye amesema ni vizuri kwa wachambuzi kudai kwamba ndio timu bora barani uropa kwa sasa. Hili linawaweka wapi kuelekea mpambano huu? Chelsea mechi ya wikendi walitunguliwa muhogo mmoja pakavu kwa maana ya goli moja sifuri.

Picha hisani : Football daily.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.