"Hatucheki kabla mechi........." muller atoa siri za Bayern kushinda

Mshambulizi matata wa Bayern Munich,Mjerumani Thomas Muller lisema "hatucheki na mpinzani kabla mechi,tunacheka ikikamilika ,ila uenda matokeo yakawa magumu kwake akakosa kucheka". Muller akizungumza baada ya mechi dhidi ya Dynamo Kiev mtanange Wa klabu bingwa.wachezaji Wa Bayern Munich katika uwanja Wa Allianz Arena. Picha: Getty images.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.