DE BRUYNE ANAFAA NYEKUNDU.......

Mashabiki Wa Man united wamelalamikia viwango vya shirikisho la soka barani ulaya Uefa,kwa madai kwamba kiungo kati Wa Manchester city Kevin De Bruyne, alifaa kadi nyekundu kwa kumchezea ngware Kiungo Wa PSG Gana Queye. Kwa mujibu Wa washabiki Wa United kosa alilolifanya De Bruyne ndilo alilofanya beki wao Aaron wan Bissaka katika mechi dhidi ya Young Boys na kupigwa umeme kwa maana ya kadi nyekundu.



Photos courtesy: Ap and Getty images.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.