"Aondoke tu....." busquets asema

Kiungo Wa timu ya Barcelona Sergio Busquets amedamka kuwa "kitu rahisi kwa sasa ni kumpiga kalamu kocha", akizungumza baada ya mechi ya klabu bingwa barani uropa,wakizimwa na Benfica magoli matatu kwa karai. Busquets akiwa uwanjani dhidi ya Benfica.

MATOKEO MABOVU.
Barcelona imekuwa na msururu Wa matokeo mabovu, akipiga sare dhidi ya Cadiz na Granada katika ligi kuu nchini Hispania Laliga,charazwa mechi mbili za klabu bingwa UCL ,ya kwanza akitiwa kambani na Bayern Munich kamati ya nidhamu na hapo Jana kulabuliwa na Benfica 3-0, Darwin Nunez akifunga mawili na Rafa Silva moja. Wachezaji Wa Benfica wakisherehekea ushindi dhidi ya Barcelona,goli la pili la Darwin Nunez. ..Getty images.
KOCHA
Hili la kocha ni mjadala mkubwa ila chini ya kocha Ronald koeman ,aliyewahi kuwa mchezaji Wa awali Wa wakali hawa Wa catalunya,Barcelona hawajapiga pasi hatarishi za kulenga lango kwa Mara ya pili kwenye mechi mbili mfululizo.Ronald koeman kwenye karantini ya Makocha. Jpeg images.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.