Isuza,Omalla na siraj kwenye kikosi cha wiki

Kinda Benson Omalla ,Whyvone Isuza Wa Bandari na siraj ni baadhi ya wachezaji waliojaaliwa kupata nafasi katika kikosi cha wiki ya kwanza,mitanange ya ligi kuu nchini Kenya Fkf pl iliyotimua vumbi. Omalla na Isuza wote walianza kwa kutikisa nyavu Mara mbili kila mmoja,Omalla akifunga dhidi ya Kcb na mwenzake akifunga dhidi ya slam boys Mathare united.Wengine waliojaaliwa kupata nafasi ni pamoja na Samuel Olwande wa kariobangi sharks na mlinzi wa wanajeshi Saruni.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Unknown and Shocking about Ole Gunnar Solskjaer.

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

MAYAKA alivyotua kikosini Harambee stars.