Fury amshauri Bondia Anthony Joshua,kuelekea pambano la marudiano.

Nyota Wa pambano la dondi mshikilizi wa mkanda wa WBC Tyson Fury,amemshauri mpinzani wake mkuu Anthony Joshua AJ, anapojiandaa kumenyana na Oleksandr Usyk mwaka ujao. Utakuwa no mpambano Wa marejeano baada ya AJ kupokonywa mikanda yote na Usyk mbele ya mashabiki katika uwanja Wa Tottenham Hotspurs nchini uingereza mwezi septemba mwaka huu.

"Ushauri wangu kwa Joshua katika pambano la marudiano,ni kupambana kwa nguvu, katika mbinu nzuri azijuazo,Anahitaji kuweka kiwango bora cha tabia na kufikiri kuhusu ushindi."Fury akizungumza na wanahabari.

AJ na Fury kwenye pambano.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Unknown and Shocking about Ole Gunnar Solskjaer.

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

MAYAKA alivyotua kikosini Harambee stars.