HAMILTON NDIYE BINGWA WA LANGALANGA

Mbio za magari ya langalanga mkondo Wa urussi zimekamilika, lewis Hamilton akitinga ushindi wake Wa 100. Hamilton hakutarajiwa kushinda na walevi wengi Wa mchezo huu baada ya mpinzani wake mkuu verstappen Max kuonyesha ushindani mkali katika raundi 20 za kwanza.
Max's verstappen ameibuka Wa pili na kupokonywa ushindi huo ambao aliutwaa mapema mwaka katika Grand pix ya Uholanzi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.