Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.

Hatihati zimekuwepo nyingi kuhusu kusalia kwa winga Wa kifaransa kylian Mbappe katika timu ya PSG. Kabla ya dirisha la usajili kufungwa ,Real Madrid walikuwa karibu kumnasa katika dakika za jioni ila mabosi PSG wakagoma.

SHINIKIZO LA MASHABIKI.
Labda ukiwasikia wengi wananadi kwamba ni wakati mwafaka Wa Mbappe kuiacha PSG na kuenda kukiwasha laliga,jambo ambalo kwa wengine sio sawa, kwani anacheza nao nyota waliotoka hio laliga ,kina Lionel Messi na Neymar. 
JIBU.
Sasa katika hili beki Sergio Ramos aliyegonga vichwa vya habari baada ya kuiacha Real  Madrid na kujiunga na wakwasi hawa Wa Ufaransa Le Champione psg,wamesema haya nikimnukuu" Mbappe ana furaha sana akiwa hapa kinyume na Mashabiki wanavyotarajia.Kila wakati anazungumza na Messi na Neymar,wakijadili namna ya kujenga kikosi bora cha mashambulizi." Ramos huyo kaibua makubwa. Neymar kushoto,kati Mbappe na Messi kulia. Picha: Getty


Author: Mwanamichezo blog
E-mail: michezoh@gmail.com

Maoni

  1. Sasa bona tetesi zasema kwamba Mbappe Hana uwiano Bora na Messi eti kisa na maana Mbappe anamshabikia Ronald?

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.