United,liverpool na Chelsea ni wapinzani wa city.

Winga Wa Manchester City, Mreno Bernardo Silva amewataja wapinzani wao wakuu katika kipute cha kombe LA ligi Uingereza msimu huu. 

Wachezaji Wa Manchester city.

Picha Hisani :jpeg 


Akihojiwa na kituo cha Football Daily amesema haya nikimnukuu"United,Liverpool na Chelsea no pande zilizo na uwezo Wa kushinda taji LA ligi msimu huu pamoja nasi" 

Mengi zaidi sikiliza na utizame hii video. Courtesy of football daily Twitter account.

Silva akihojiwa.

Author: mwanamichezoo blog

E-mail: michezoh@gmail.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.