"Lazima tuwamalize..."klopp asema.


Video courtesy of Footballdaily Twitter account.
Kocha Wa Liverpool Jurgen klopp amesema lazima wawatuange Manchester city katika mechi ya ligi kuu nchini uingereza Leo tarehe 3 mwezi Wa 10.
Klopp alikuwa anazungumza na kituo kimoja barani ulaya cha habari za michezo


Mwandishi.
Mwanamichezo blog.
E-mail: michezoh@gmail.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Unknown and Shocking about Ole Gunnar Solskjaer.

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

MAYAKA alivyotua kikosini Harambee stars.