"Liverpool Ni kubwa kuliko tabia zake..."asema Pep.

Kocha Wa Manchester city Muisphaniola Pep Quardiola, ameisifia Liverpool kwa ukubwa wake. Pep alikuwa akizungumza baada ya mechi dhidi ya City na Liverpool iliyopigwa An field tarehe 3 mwezi octoba mwaka 2013.


Hats hivyo pep amelisifia pia goli la kusawazisha la Phil Foden aliyopata mgongeo safi kutoka kwa Maestro Jesus Gabriel.
Picha: jpeg

Mwandishi
Mwanamichezo blog
E-mail: Michezoh@gmail.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.