Mastaa Wa Tenisi kukiwasha katika BNP Paribas Opens.

Staa Wa Tenisi Mshindi wa Us Open Emma Raducana, amerejea mazoezini kwa ajili ya shindano la ufungunguzi BNP Paribas wiki hii. Raducana hakushiriki katika mashindano ya msururu Wa WTA and ATP yaliyoairishwa mwaka 2019, kwa sababu ya janga la virusi vya corona.
Shindano la ufunguzi la BNP linafanyika ndani ya wiki mbili,drop ikifanywa jumanne ya tarehe 6/10/2021.
Raducana hajakuwa na kocha baada ya kuachana na kocha wake Andrew Richardson waliyekuwa wameingia katika mkataba mfupi baada ya shindano la Ufunguzi US.
Mastaa wanaotarajiwa kukiwasha katika pambano hili ni Ashleigh Barty,Novak Djokovic,Rodger Federer,Rafael Nadal,Naomi Osaka,Serena Williams na mshindi Wa Wildcard Andy Murray.
Emma Raducana. Photo: Getty Images.

Mwandishi
Mwanamichezoo blog
E-mail: Michezoh@gmail.com.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.