"Tutalizungumzia Miaka 56.."Klopp kuhusu goli la salah.

Video courtesy.

 "Tutalizungumzia miaka 56,"Kocha wa liverpool Jurgen klopp amelisifia goli alilofunga Mohamed Salah katika mchezo wa ligi kuu nchini uingereza Epl, dhidi ya Manchester city tarehe 3 mwezi octoba mwaka 2021.

Salah aliifungia Liverpool goli la pili kabla ya Kiungo kati Wa city Kevin De bryune kusawazisha kwa city na kufanya mambo kuwa 2-2.


Picha:Skysports

Klopp ameongeza kuwa magoli kama hayo ufungwa na wachezaji bora duniani.

Mwandishi.

Mwanamichezo blog

E-mail: michezoh@gmail.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.