Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2021

Unkwown and shocking about Thomas Tuchel.

Picha
The Chelsea boss is mostly known for struggling Real madrid at the semi finals of uefa champions leaque 2019 -2020 season and beating down the master Pep Quardiola with his Manchester city to clinch the tittle.  Tuchel unkwown . Childhood nickname  :  TT was nicknamed The professor  been born on 29. 8 .1973 by mother Gabriele tuchel a house keeper and his father a former football coach Rudolf tuchel. Place of birth is krumbach, Bavaria in Germany. His father taught him how to kick a soccer ball. First team: it was a local team which his  father was the coach in 1979 ,TSV Krumbach as a midfielder. SHOCKING Tuchel wanted to study and become a helicopter rescue pilot. In 1998 tuchel went on a successful trial on FC Augsburg at the age of 19 and while graduating to the senior team he released by the club. Thomas Tuchel as an Augsburg player. Stuttgater gave tuchel a senior career in their club.In 1993 -94 season the club released Tuchel. He went to SSV Ulm where he got a cartil

Unknown and Shocking about Ole Gunnar Solskjaer.

Picha
BORN Ole Gunnar Solskjaer was born in  1973.26th February, in the Coast of Norway.  PARENTS . He is a Son to Brita Solskjaer(Mother) and Oivind Solskjaer(father). Ole Gunnar Father, Oivind Solskjaer. FAMILY Ole is married to Silje gunnar. The two have no clear path as to where and hiw they met in  the romeo and Juliet stuff,  as they have not kept their relationship in limelight. They married in 2004,in a wedding done at Florida. They have three kids. Noah,karna and Elijah. love in one photo. Ole Gunnar with silje his wife. CAREER PATH. Ole at 8yr had trained in wrestling and it the time he gave up and joined football. CLAUNSENGEN He started playing at Clausengen a Local club in Norway his motherland. He scored 31 goal out of 47 of the whole club. This performance triggered former Manchester City defender Age Haraide who was the coach of Molde, a top side in Norway to enroll Ole in his team. ole Gunnar right, watching Molde training with age Haraide

The Unknown about Pep Quardiola.

Picha
FAMILY AND NAME. Josep pep Quardiola sala been the full name people know him as "pep". Quardiola was born in Santpedor at 18th the year 1971.He is born in family of four, two sisters and two brothers.Her mothers name is Dolors sala who retired at the age of 61 while as a brick layer and the father is non other than valenti Quardiola. peps father Valenti Quardiola.jpeg. Brother Pere. peres, peps brother.jpeg. Peps brother is a football agent in Europe where many soccer stars fall behind his company signature.e.g Luis Suarez. Sisters. Little is known about Olga and Francesca who are peps sisters. Wife. Pep is married to one  wife Cristina Serra.   Where did they met?  Well the two fall in the trap of life until death do us apart in 2014 after they met in a store at Spain.They wedded in an invite only occasion.They have three kids Marius, Maria and Valentine. Pep Quardiola with family. Wife and kids.jpeg. Fashion . Pep Quardiola if not the be

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

Picha
EDEN HAZARD. FAMILIA. Nyota huyu Wa kimataifa Wa ubelgiji amezaliwa kwao ubelgiji katika familia ya watoto 4 vijana dume wote na baba na mama. Kaka zake ni Ethan,Kylian na Thorgan. Baba na Mama walikuwa wachezaji Wa soka na hivyo kuifanya familia hiyo kuwa ya wanamichezo. Hakuna Dada. Hazard ,Thorgan na kylian walikua kwa pamoja wakipendana kwa kuendesha baiskeli na baba yao kuwabatiza the tripod . Hazard,kylian na Thorgan.Wakiwa wamevalia jezi nambari 10 ufaransa iliyovaliwa na Zidane wakati huo. Familia ya kina Hazard katika picha moja. WAZAZI. Thierry hazard alikuwa kiungo kati mlinzi naye mkewe carine Hazard alikuwa nyota wa kupigiwa mfano.  Ba adhi ya vilabu alivyocheza babake Hazard. Stade Brainois Jul 1, 1998 AFC Tubize Jul 1, 1996 AA La Louviere Jul 1, 1991 Marchienne Ass. Jul 1, 1989 Stade Brainois until Jul 1, 1989 Mamake Carine,alicheza katika timu za ligi ya wanawake ubelgiji divisheni ya kwanza. Soma hii : Mamake Hazard alistaafu soka akiwa na uja

Mpenzi Wa Ronaldo aonyesha umbo lake hadharani.

Picha
GEORGINA RODRIGUEZ. Georgina ni mwanamitindo na fasheni mwenye umri Wa miaka 27 na ndiye Mpenzi Wa nyota Wa ureno na Manchester United, Christiano Ronaldo, mwenye umri Wa miaka 36 . MAISHA . Kama mwanamitindo wengine tu, Georgina anapenda sherehe na raha. Kuzuru na kuogelea katika bwawa ndogo za maji. Sasa hivi majuzi amelinasa jicho la umma kwa kutokea kwenye picha akiwa amevalia vazi jeupe na mkufu Wa almasi. Picha hizi wanamitandao waliziamkia wengine wakimpongeza kwa umbo lake. Gorgina kwenye picha akionyesha umbo lake. Webp: picha hisani. RONALDO NA MPENZIWE . Je, wameoana? Hapana . Kama wengi walivyoeneza uvumi kwamba wawili hawa wamefunga ndoa,hizo zimesalia kuwa fununu tu.Kwa sasa wamehamia jijini Manchester kutoka Turin baada ya Ronaldo kupata uhamisho Wa United mwaka 2021. Ronaldo na Georgina wakila bata. Picha hisani: webp. Author : mwanamichezoo blog E-mail: michezoh@gmail.com

"Alinibikiri nikiwa na umri Wa miaka 16,"asema Mkeo Tyson Fury.

Picha
BONDIA TYSON FURY NA USHINDI. Wengi Wa walevi Wa mchezo Wa masumbwi au dondi na kuongeza utukutu ukisema ngumi,wananadi jina tu Tyson Fury kwa kuwa sasa mkanda Wa WBO upo mkononi mwake,baada ya kumparakasa Dentoy wilder katika pambano la tatu mfululizo. Fury alikuwa ameshiriki mapambano 40 ambapo alikuwa ameshinda 39 na kutoa sare moja kabla ya hili lake na Dentoy wilder,ambalo lilikuwa la tatu . Fury ameshinda katika pambano ambalo Lilikuwa lenye historia yake, maana ushindi Wa Fury unaamanisha ni trilogy ya kwanza ndani ya miaka 20 ya masumbwi na pili amemcharaza bondia mwenye ngumi nzito zaidi ya mkono Wa kulia. Pambano hilo lilipiganwa siku ya jumapili tarehe 10/10/21. Je,Fury ana Mke ? Jibu ni Ndio. PARIS MULROY FURY . Mzaliwa huyu Wa Doncaster ndiye anayemlisha Fury vya tumbo na vya ndani hili kupata nguvu za kuwapanguza wapinzani kama vibonzo. MAISHA . Fury na Paris walikutana katika Arusi ya kifamilia mwaka 2004,Paris akiwa na miaka 15. Kwa sababu Paris hangeruhusiwa

United,liverpool na Chelsea ni wapinzani wa city.

Picha
Winga Wa Manchester City, Mreno Bernardo Silva amewataja wapinzani wao wakuu katika kipute cha kombe LA ligi Uingereza msimu huu.  Wachezaji Wa Manchester city. Picha Hisani :jpeg  Akihojiwa na kituo cha Football Daily amesema haya nikimnukuu"United,Liverpool na Chelsea no pande zilizo na uwezo Wa kushinda taji LA ligi msimu huu pamoja nasi"  Mengi zaidi sikiliza na utizame hii video. Courtesy of football daily Twitter account. Silva akihojiwa. Author: mwanamichezoo blog E-mail: michezoh@gmail.com

Wanasoka wavuta Bangi.

Picha
1.IBRAHIM TANKO . Raia huyu Wa Ghana, kipenzi cha mashabiki wakinadi  jina lake la utani kama kijana Wa Kumasi ,alianza kuonyesha mwanga Wa nyota yake mwaka 2000 akiwa na miaka 17 akiitumikia Borussia Dortmund ya ujerumani. Baada ya kushiriki mechi ya kombe la ujerumani ( german cup)  kati ya Dortmund na Schalke 04 ,Tanko alipimwa na chembechembe za Tetrahedrocannabinol  ambayo ni madini ya bangi zikapatikana kwenye mwili wake. Alipewa adhabu ya miezi minne aliyokwenda kumalizia Freiburg katika uhamisho. Tanko alistaafu soka akiwa na miaka 30. Tanko akiitumikia Fk Javor ya Serbia. Picha hisani: Ghanaweb. 2. WILDER MEDINA . Huyu ni raia Wa Colombia moja kati ya mataifa yenye watukutu na wavunja sheria wengi baada ya bunduki kupatikana kiholela kila eneo la nchi. Medina akiwa na miaka 18 , akiitumikia timu ya ligi divisheni ya pili Rionegro, nchini Colombia, ilikuwa Mara yake ya kwanza kunaswa na uvutaji bangi. Mwaka 2012 aliendelea na tabia hiyohiyo akiichezea Deported

Mastaa Wa Tenisi kukiwasha katika BNP Paribas Opens.

Picha
Staa Wa Tenisi Mshindi wa Us Open Emma Raducana, amerejea mazoezini kwa ajili ya shindano la ufungunguzi BNP Paribas wiki hii. Raducana hakushiriki katika mashindano ya msururu Wa WTA and ATP yaliyoairishwa mwaka 2019, kwa sababu ya janga la virusi vya corona. Shindano la ufunguzi la BNP linafanyika ndani ya wiki mbili,drop ikifanywa jumanne ya tarehe 6/10/2021. Raducana hajakuwa na kocha baada ya kuachana na kocha wake Andrew Richardson waliyekuwa wameingia katika mkataba mfupi baada ya shindano la Ufunguzi US. Mastaa wanaotarajiwa kukiwasha katika pambano hili ni Ashleigh Barty,Novak Djokovic,Rodger Federer,Rafael Nadal,Naomi Osaka,Serena Williams na mshindi Wa Wildcard Andy Murray. Emma Raducana. Photo: Getty Images. Mwandishi Mwanamichezoo blog E-mail: Michezoh@gmail.com.

MAYAKA alivyotua kikosini Harambee stars.

Picha
Mengi hayajulikani kumhusu kiungo mpya katika timu ya soka taifa la Kenya  Harambee stars, Philip Mayaka aliyeitwa kikosini na kocha Engine Firat,kwa ajili ya kuwavaa Mali ugenini na Uganda katika Mechi za kutafuta nauli ya kushiriki katika mipapurano ya dimba la dunia mwaka 2022 Nchini Qatar. MAISHA YA SOKA. Maya ka alipata umaarufu katika shule ya upili st. Anthony kitale katika michezo ya soka la shule za upili yaliyofadhiliwa na cocacola wakati huo. Mayaka alipoondoka Kenya alielekea zake marekani,alikocheza ndani ya mfumo Wa College ,ambapo timu zinashoriki ligi ya America USL usaka wachezaji. Sasa ana timu ya Colorado springs . Mayaka akiwa uwanjani akiitumikia Colorado. Picha:jpg KUITWA KATIKA KIKOSI CHA TAIFA . Akizungumza na wanadijitali wanaosimamia ukurasa wa shirikisho alisema haya nikimnukuu" Sikujua kama naweza kuitwa katika kikosi cha Harambee stars, kwani nacheza katika ligi ya marekani Usl ambayo haina umaarufu.Nilifahamishwa na aliyekuwa mwalimu wan

Mshambulizi pekee anayemvuruga Virgil Van Dijk

Picha
VIRGIL KWA ERLING HAALAND . Beki kati Wa Liverpool na taifa la Uholanzi, Virgil Van dijk amemsifia mshambuliaji wa Borussia Dortmund  Erling Haaland, kwa kusema Ni moja ya mastaa Wa sasa walio na kila kiungo kumbabaisha beki mzuri duniani. "Haaland ni straika wa kipekee kwani ana nguvu,ana mbio na kila kiungo cha kumsababishia beki maisha magumu," Virgil akizungumza na Sky sports. Mwamba huyu Wa Netherlands ameongeza kwamba ,muundo wake Wa kucheza Ni kama ule Wa James Jamie Vardy Wa Uingereza na Leicester. "Ana nguvu zaidi ya vardy ila mchezo wao Ni mmoja" dijk akaongeza. Kwenye picha Ni Virgil na erling wakipunga mkono baada ya mechi ya Netherlands dhidi ya Norway. PICHA :GETTY IMAGES. KUTUA ANFIELD . Mshambulizi huyu amehusishwa pakubwa na wekundu Wa An field akitajwa kama mrithi Wa Takumi minamino na Firmino ambao kiwango chao sio cha magoli kila Mara. Baada ya Virgil kumtilia shombo nyota huyu akisema Ni moja kati ya washambulizi walionitatiza,uenda

"Liverpool Ni kubwa kuliko tabia zake..."asema Pep.

Picha
Kocha Wa Manchester city Muisphaniola Pep Quardiola, ameisifia Liverpool kwa ukubwa wake. Pep alikuwa akizungumza baada ya mechi dhidi ya City na Liverpool iliyopigwa An field tarehe 3 mwezi octoba mwaka 2013. Hats hivyo pep amelisifia pia goli la kusawazisha la Phil Foden aliyopata mgongeo safi kutoka kwa Maestro Jesus Gabriel. Picha: jpeg Mwandishi Mwanamichezo blog E-mail: Michezoh@gmail.com

"Tutalizungumzia Miaka 56.."Klopp kuhusu goli la salah.

Picha
Video courtesy.  "Tutalizungumzia miaka 56,"Kocha wa liverpool Jurgen klopp amelisifia goli alilofunga Mohamed Salah katika mchezo wa ligi kuu nchini uingereza Epl, dhidi ya Manchester city tarehe 3 mwezi octoba mwaka 2021. Salah aliifungia Liverpool goli la pili kabla ya Kiungo kati Wa city Kevin De bryune kusawazisha kwa city na kufanya mambo kuwa 2-2. Picha:Skysports Klopp ameongeza kuwa magoli kama hayo ufungwa na wachezaji bora duniani. Mwandishi. Mwanamichezo blog E-mail: michezoh@gmail.com

"Lazima tuwamalize..."klopp asema.

Picha
Video courtesy of Footballdaily Twitter account. Kocha Wa Liverpool Jurgen klopp amesema lazima wawatuange Manchester city katika mechi ya ligi kuu nchini uingereza Leo tarehe 3 mwezi Wa 10. Klopp alikuwa anazungumza na kituo kimoja barani ulaya cha habari za michezo Mwandishi. Mwanamichezo blog. E-mail: michezoh@gmail.com

Beti tano Motomoto

Picha
Ni wikendi ya kimichezo,ambapo michezo mbalimbali inatakatwa. Mwanamichezo blog inakupakulia tano za Leo. UFARANSA .LIGUE 1  PSG dhidi ya Rennes . Mechi hii ni kubwa sana katika uwanja Wa PARC de princes nyumbani mwa Psg. PSG  Mabwenyenye Wa Paris katika mechi 5 zilizopita hawajafunga magoli zaidi ya matatu.Katika mechi 6 za ligi hawajashindwa. Jumlisha mechi mbili za klabu bingwa barani uropa. RENNES Katika mechi 6 za ligue 1 wamepoteza mchezo mmoja pekee.Katika 5 walizoshinda hakuna magoli zaidi ya matatu. UBASHIRI  Psg kushinda. Magoli chini ya 3. UINGEREZA .EPL CRYSTAL PALACE DHIDI YA LEICESTER CRYSTAL PALACE Palace hawajapoteza mchezo wowote wakiwa nyumbani chini ya kocha Patrick Vieira. Michezo miwili waliyopoteza in dhidi ya Liverpool na Chelsea.Mechi ya juzi wametoa sare dhidi ya Brighton. LEICESTER Vijana Wa kocha Brendan Rodgers hawana msururu mzuri Wa matokeo baada ya kupiga Manchester city katika pambano LA kombe la community shield. Wameshinda mechi moja dhidi ya Wolves ka

Ronaldo ni "mungu " wangu," asema townsend

Picha
ANDROS TOWNSEND AKIZUNGUMZA BAADA YA MECHI YAO DHIDI YA UNITED N yota huyu aliyefunga goli la pekee kuikomboa timu ya everton na kuandikisha sare ya moja moja  katika mchuano uliopigwa katika uwanja wa nyumbani wa united oldtrafford. Townsend na Ronaldo. Picha: Getty Football on BT Sports "He's my idol. I grew up watching Ronaldo, I spent hours on the training pitch trying to execute his techniques. "Maybe should have spent longer on the celebration because it wasn't great!"  Townsend says it was a honour to share the field with CR7.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.

Picha
Hatihati zimekuwepo nyingi kuhusu kusalia kwa winga Wa kifaransa kylian Mbappe katika timu ya PSG. Kabla ya dirisha la usajili kufungwa ,Real Madrid walikuwa karibu kumnasa katika dakika za jioni ila mabosi PSG wakagoma. SHINIKIZO LA MASHABIKI. Labda ukiwasikia wengi wananadi kwamba ni wakati mwafaka Wa Mbappe kuiacha PSG na kuenda kukiwasha laliga,jambo ambalo kwa wengine sio sawa, kwani anacheza nao nyota waliotoka hio laliga ,kina Lionel Messi na Neymar.  JIBU. Sasa katika hili beki Sergio Ramos aliyegonga vichwa vya habari baada ya kuiacha Real  Madrid na kujiunga na wakwasi hawa Wa Ufaransa Le Champione psg,wamesema haya nikimnukuu" Mbappe ana furaha sana akiwa hapa kinyume na Mashabiki wanavyotarajia.Kila wakati anazungumza na Messi na Neymar,wakijadili namna ya kujenga kikosi bora cha mashambulizi." Ramos huyo kaibua makubwa.   Neymar kushoto,kati Mbappe na Messi kulia. Picha: Getty Author: Mwanamichezo blog E-mail: michezoh@gmail.com