SHERIA KUMI MPYA ZA XAVI BARCELONA.

Ndio,,,, ametua.
Nyota Wa zamani Wa Barcelona Xavi Hernandez amerejea katika uga Wa Campnou kama kocha. Xavi anatua baada ya mchezaji mwingine Wa zamani Ronald Koeman kuonyeshwa mlango.
Kocha Wa Barcelona Hernandez Xavi.
Picha hisani ukurasa Wa Barcelona kwenye Facebook.

Sheria za Xavi.
Tuachane na kutua kwake sababu sio kusudi la mwandishi kuandika makala haya. Sasa huyu bwana katua na sheria zake hatari ambazo alihoji kwamba zitarejesha maana ya Campnou.

1.Wachezaji kufika uwanjani katika shughuli za mazoezi, dakika 90.
Wachezaji Wa Barcelona, Samuel umtiti beki na Marc Ander Testegen mlindalango wakiwa kwenye mazoezi.
Picha hisani : ukurasa Wa Barcelona kwenye Facebook.

2 Maafisa na benchi la kiufundi kufika mapema pia.

3 –Wachezaji wote lazima wale chakula chao katika uwanja Wa mazoezi. 

4 – Faini zimerejea.

Ukifanya kosa kwa kuvunja kanuni na utaratibu Wa klabu unatozwa faini.

5 – Faini kutozwa mara mbili ukirudia kosa. 

Kama wewe in mhuni sana,ukirejelea hill kosa, adhabu ya pili itakuwahi.

6 – Kabla ya masaa 48 kuelekea mechi kama mchezaji hufai kuwa nje usiku sana.

7 – Wachezaji kujitolea kuitumikia timu ipasavyo. 

8 – Mienendo nje ya uwanja kufuatiliwa.

Benchi la kiufundi litafuatilia kwa ukaribu kila mchezaji na tabia zake . Hili uenda likawatia hatarini watukutu kama kina Ousmane Ndembele .

9 –Wachezaji kupigwa marufuku kujihusisha na vitu hatari.

Wachezaji watapigwa marufuku kujihusha na maeneo hatari na shughuli hatari kwa afya yao,nje na ndani ya uwanja.

10 – Picha ya Timu.

Maarufu baji ya klabu kitakuwa kitu cha wachezaji kuzingatia,wanapoingia uwanjani na mazoezini.

Xavi.Baji ya Barcelona.


Mwandishi :mwanamichezoo.blogspot.com

E-mail: Michezoh@gmail.com

FACEBOOKMwanamichezoo 


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maisha ya kutisha ya Eden Hazard.

The Unknown about Pep Quardiola.

Sergio Ramos afichua makubwa kuhusu Mbappe.