Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2021

SHERIA KUMI MPYA ZA XAVI BARCELONA.

Picha
Ndio,,,, ametua . Nyota Wa zamani Wa Barcelona Xavi Hernandez amerejea katika uga Wa Campnou kama kocha. Xavi anatua baada ya mchezaji mwingine Wa zamani Ronald Koeman kuonyeshwa mlango. Kocha Wa Barcelona Hernandez Xavi. Picha hisani ukurasa Wa Barcelona kwenye Facebook. Sheria za Xavi. Tuachane na kutua kwake sababu sio kusudi la mwandishi kuandika makala haya. Sasa huyu bwana katua na sheria zake hatari ambazo alihoji kwamba zitarejesha maana ya Campnou. 1.Wachezaji kufika uwanjani katika shughuli za mazoezi, dakika 90. Wachezaji Wa Barcelona, Samuel umtiti beki na Marc Ander Testegen mlindalango wakiwa kwenye mazoezi. Picha hisani : ukurasa Wa Barcelona kwenye Facebook. 2 Maafisa na benchi la kiufundi kufika mapema pia. 3 –Wachezaji wote lazima wale chakula chao katika uwanja Wa mazoezi.  4 – Faini zimerejea. Ukifanya kosa kwa kuvunja kanuni na utaratibu Wa klabu unatozwa faini. 5 – Faini kutozwa mara mbili ukirudia kosa.  Kama wewe i